Hinweis: Um die korrekte Darstellung der Seite zu erhalten, müssen Sie beim Drucken die Hintergrundgrafiken erlauben.
Slider Bild - CC BY-NC-ND 4.0
Slider Bild - CC BY-NC-ND 4.0
Slider Bild - CC BY-NC-ND 4.0
Slider Bild - CC BY-NC-ND 4.0
1/4

Kijiko cha mbao

Sammlung Braun
r 2018 / 18220
Taasisi inayotoa
Museen Stade
Eneo la Mkusanyiko
Sammlung Braun
Nambari ya uvumbuzi
r 2018 / 18220
Kichwa
Kijiko cha mbao
Vipimo
Urefu: 24cm
Nyenzo
Mbao
Kiungo cha dondoo
https://www.amani-stade.gbv.de/item/sw_ms_0bd335c1-a1ae-4c0f-8605-f4b3e9479106
nakala kwenye ubao wa kunakili
Kikundi cha kitu / kitu cha mtu binafsi
Kitu cha mtu binafsi
Uainishaji
Utunzaji wa nyumba  
Uzalishaji
Wakati
mpaka ca. 1905-12-24
Mtu
  • Person (Mtengenezaji)
Mahali
  • Tansania
Kununua / Uuzaji
Wakati
1905-12-24
Maelezo
"Jumapili, tarehe 24 Desemba 1905 [imepigiwa mstari, uk. 60] [uk. 61] [...] Jioni, [...] [?] ambazo zina thamani ya ethnografia, ziliondoka. Hizi karibu zote zilikuwa zimenunuliwa kwa me by Max [...]. Vijiko vidogo na vikubwa vya duara vilivyochongwa vyenye michoro iliyochomwa, vilivyowekwa chini kwa kina, takwimu zikipishana.[Mchoro wa vijiko saba a-g, mchoro wa kina wa muundo wenye maandishi] kiswahili: kijiko/mwiko/wu bu [?] / kijiko kimoja kirefu: [kuchora h] [...]" [tafsiri]

chanzo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 46 (62)
mwandishi: Karl Braun
Mtu
  • unknown actor (Mnunuzi)
Mahali
  • Amani
Malipo
Wakati
mpaka 1905-12-24
Maelezo
"45. sawa na 43 [mchoro]" [Entry 43] ""Kijiko cha mbao, Kijiko / Amani 24 Des 1905 / TB 46.62 / [mchoro]" [tafsiri]

chanzo: Museen Stade, r 2018 / 18566 (45/43)
mwandishi: Karl Braun
Mtu
Nambari za hesabu za zamani
  • 045
Urithi
Wakati
1934-07-17
Maelezo
Mnamo mwaka 1934, aliyekuwa mkurugenzi wa Taasisi ya Biolojia ya Kilimo na Misitu (Biologische Reichsanstalt für Land- und Forstwirtschaft) Karl Braun (1870–1935) alitoa kile kinachoitwa “Kolonialsammlung Braun” (Makusanyo ya Mkoloni Braun) kwa Jiji la Hanseatic la Stade, au tuseme aliyekuwa mwakilishi wake, meya wa wakati huo Hans Arthur Meyer (1884–1961). Tazama faili „Uhamisho wa makusanyo ya kikoloni kutoka kwa diwani mkuu wa serikali Profesa Dk. Karl Braun huko katika Jiji la Stade” („Überlassung einer Kolonialsammlung vom Oberregierungsrat Professor Dr. Karl Braun in Stade an die Stadt Stade") katika Jimbo la Saxony ya Chini Hifadhi ya Nyalaka ya Stade (Niedersächsischen Landesarchiv Standort Stade).

chanzo: Niedersächsisches Landesarchiv Standort Stade, Dep. 10 Nr. 03025
Mtu
  • Braun, Karl (* 1870 † 1935) (Mfadhili)
    GND Explorer
  • Hansestadt Stade (Mpokeaji)
  • Hans Arthur Meyer (1884 - 1961) (Mpokeaji)
Mahali
  • Stade
Mkopo
Wakati
1997-02-17
Maelezo
Mnamo mwaka 1997, aliyekuwa mtunza kumbukumbu wa jiji kwa wakati huo Jürgen Bohmbach anahitimisha makubaliano ya makabidhiano kwa mkopo wa kudumu katika Jumba la Makumbusho (Museumsverein Stade e.V.) chini ya aliyekuwa mkurugenzi wa wakati huo Gerd Mettjes kwa kutia saini. Baadaye, makusanyiko kutoka kwa Karl Braun yalihamishiwa kwenye Jumba la Makumbusho (Museumsverein Stade e.V.) kwa ajili ya utunzaji.

chanzo: Museen Stade, Vereinbarung Leihgabe "Brauns'sche Kolonialsammlung"
Mtu
Mahali
  • Stade
Mwandishi: Karl Braun, Tarehe ya kutengenezwa: 1909-08-19, Nukuu/Angalizo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 53 (132)jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Nukuu/Angalizo: Museen Stade, r 2018 / 18566jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Nukuu/Angalizo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 46 (62)jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Nukuu/Angalizo: Museen Stade, r 2028 / 18566 (45)jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Tarehe ya kutengenezwa: 1905-12-24, Nukuu/Angalizo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 46 (60-62)jifunze zaidi

Rejeo la ndani la kitu

Kisu kichaka

Kisu kichaka

r 2018 / 18293
Rejeo la ndani la kitu
Kuhusiana na
Kipasulio cha nazi, Mbuzi

Kipasulio cha nazi, Mbuzi

r 2018 / 18424
Rejeo la ndani la kitu
Kuhusiana na
Sanduku la ugoro

Sanduku la ugoro

r 2018 / 18431
Rejeo la ndani la kitu
Kuhusiana na
Chanuo la mbao

Chanuo la mbao

r 2018 / 18493 a
Rejeo la ndani la kitu
Kuhusiana na
Chanuo la mbao

Chanuo la mbao

r 2018 / 18493 c
Rejeo la ndani la kitu
Kuhusiana na
Chanuo la mbao

Chanuo la mbao

r 2018 / 18493 d
Rejeo la ndani la kitu
Kuhusiana na
Filimbi ya mbao

Filimbi ya mbao

r 2018 / 18504
Rejeo la ndani la kitu
Kuhusiana na
Kijiko cha kuchochea cha mbao

Kijiko cha kuchochea cha mbao

r 2018 / 18506 b
Rejeo la ndani la kitu
Kuhusiana na
Kijiko cha mbao

Kijiko cha mbao

r 2018 / 18303
Rejeo la ndani la kitu
Kitu kinacholingana

Rejeo la ndani la kitu

Löffel - Staatliche Museen zu Berlin

Rejeo la ndani la kitu
ist ähnliches Objekt

Esslöffel - Staatliche Museen zu Berlin

Rejeo la ndani la kitu
ist ähnliches Objekt
Asili ya data ya kitu
Museen Stade
Leseni
Creative Commons Namensnennung, nicht kommerziell, keine Bearbeitung 4.0jifunze zaidi
Imepitishwa katika lango imewashwa
2025-12-04T15:37:08+01:00

Rekodi zetu za takwimu zinafanyiwa maboresho kila mara. Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali au maoni au ikiwa unahitaji taarifa zaidi au nyingine zinazohusu mali hii. Taarifa juu ya ulinzi wa takwimu.
Rudi kwenye utafutaji