Hinweis: Um die korrekte Darstellung der Seite zu erhalten, müssen Sie beim Drucken die Hintergrundgrafiken erlauben.
Slider Bild - CC BY-NC-ND 4.0
1/1

Kofia ya ngozi ya tumbili

Sammlung Braun
r 2018 / 18264
Taasisi inayotoa
Museen Stade
Eneo la Mkusanyiko
Sammlung Braun
Nambari ya uvumbuzi
r 2018 / 18264
Kichwa
Kofia ya ngozi ya tumbili
Nyenzo
Ngozi
Fasihi
Merker, Moritz Masai, Ethnogr. Monographie e. ostafrikan. Semitenvolkes, 1910, GVK
Kiungo cha dondoo
https://www.amani-stade.gbv.de/item/sw_ms_6a4d9b60-d2ba-4f0e-a78b-9355cd1bd662
nakala kwenye ubao wa kunakili
Kikundi cha kitu / kitu cha mtu binafsi
Kitu cha mtu binafsi
Uainishaji
Kichwa (nguo za wanaume)  
Kichwa (Nguo za wanawake)  
Uzalishaji
Wakati
mpaka 1906-07-31
Mtu
  • Person (Mtengenezaji)
Mahali
  • Tansania
Ethnolojia
  • Massai  
Kununua / Uuzaji
Wakati
1906-07-31
Maelezo
„Jumanne 31. Mwezi wa sita 1906 imepigwa mstari] Asubuhi nimeshughulikia maktaba kwa sababu posta kutoka ulaya imeleta vitabu vingi. – Max amenunua kutoka kwa Masai waliopita kofia mbili za manyoyo ya tumbili kama zinavyoelezwa kwa Merker "Die Masai" [u. 4] u. 133 al sdōdāl [?] (Papio cynocephalus) sehemu ya chini ya kofia imeshonwa na kipande cha ngozi ya ng‘ombe. Kila kofia iligharimu Rupie 2. [mchoro]" [Utafsiri]

chanzo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 48 (4)
mwandishi: Karl Braun
Mtu
  • Mtu, haijulikani (Mchuuzi)
  • unknown actor (Mnunuzi)
Mahali
  • Amani
Malipo
Wakati
kutoka 1906-07-31
Maelezo
„81. Kofia ya ngozi ya ngedere ya Masai (Papio cynocephalus). Merker, M. Die Masai 1904, S. 133 = ol dodal [?] (haipo kwenye kumbukumbu ya 1910 ) / Amani 31 mwezi wa saba 1906 imenunuliwa kutoka kwa Masai waliopita = 2 Rp. / TB 48,4. / [mchoro]" [Utafsiri]

chanzo: Museen Stade, r 2018 / 18566
mwandishi: Karl Braun
Mtu
Nambari za hesabu za zamani
  • 81
Urithi
Wakati
1934-07-17
Maelezo
Mnamo mwaka 1934, aliyekuwa mkurugenzi wa Taasisi ya Biolojia ya Kilimo na Misitu (Biologische Reichsanstalt für Land- und Forstwirtschaft) Karl Braun (1870–1935) alitoa kile kinachoitwa “Kolonialsammlung Braun” (Makusanyo ya Mkoloni Braun) kwa Jiji la Hanseatic la Stade, au tuseme aliyekuwa mwakilishi wake, meya wa wakati huo Hans Arthur Meyer (1884–1961). Tazama faili „Uhamisho wa makusanyo ya kikoloni kutoka kwa diwani mkuu wa serikali Profesa Dk. Karl Braun huko katika Jiji la Stade” („Überlassung einer Kolonialsammlung vom Oberregierungsrat Professor Dr. Karl Braun in Stade an die Stadt Stade") katika Jimbo la Saxony ya Chini Hifadhi ya Nyalaka ya Stade (Niedersächsischen Landesarchiv Standort Stade).

chanzo: Niedersächsisches Landesarchiv Standort Stade, Dep. 10 Nr. 03025
Mtu
  • Braun, Karl (* 1870 † 1935) (Mfadhili)
    GND Explorer
  • Hansestadt Stade (Mpokeaji)
  • Hans Arthur Meyer (1884 - 1961) (Mpokeaji)
Mahali
  • Stade
Mkopo
Wakati
kutoka 1997
Maelezo
Mnamo mwaka 1997, aliyekuwa mtunza kumbukumbu wa jiji kwa wakati huo Jürgen Bohmbach anahitimisha makubaliano ya makabidhiano kwa mkopo wa kudumu katika Jumba la Makumbusho (Museumsverein Stade e.V.) chini ya aliyekuwa mkurugenzi wa wakati huo Gerd Mettjes kwa kutia saini. Baadaye, makusanyiko kutoka kwa Karl Braun yalihamishiwa kwenye Jumba la Makumbusho (Museumsverein Stade e.V.) kwa ajili ya utunzaji.

chanzo: Museen Stade, Vereinbarung Leihgabe "Brauns'sche Kolonialsammlung"
Mtu
  • Hansestadt Stade (Mkopeshaji)
  • Museum Schwedenspeicher (Mkopaji)
    GND Explorer
  • Bohmbach, Jürgen (* 1944) (Mkopeshaji)
    GND Explorer
  • Gerd Mettjes (Mkopaji)
Mahali
  • Stade
Mwandishi: Karl Braun, Nukuu/Angalizo: Museen Stade, r 2018 / 18566jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Tarehe ya kutengenezwa: 1908-11-02, Nukuu/Angalizo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 52 (86)jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Nukuu/Angalizo: Museen Stade, r 2018 / 18566jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Tarehe ya kutengenezwa: 1908-10-02, Nukuu/Angalizo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 52 (74)jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Nukuu/Angalizo: Museen Stade, r 2018 / 18566 (81)jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Tarehe ya kutengenezwa: 1906-07-11, Nukuu/Angalizo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 48 (4)jifunze zaidi

Rejeo la ndani la kitu

Nguo za kichwa za ngozi ya nyani

Nguo za kichwa za ngozi ya nyani

r 2018 / 18512
Rejeo la ndani la kitu
Mazingira/Muktadha wa upataji/Upatikanaji
Asili ya data ya kitu
Museen Stade
Leseni
Creative Commons Namensnennung, nicht kommerziell, keine Bearbeitung 4.0jifunze zaidi
Imepitishwa katika lango imewashwa
2025-12-04T15:37:50+01:00

Rekodi zetu za takwimu zinafanyiwa maboresho kila mara. Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali au maoni au ikiwa unahitaji taarifa zaidi au nyingine zinazohusu mali hii. Taarifa juu ya ulinzi wa takwimu.
Rudi kwenye utafutaji