Hinweis: Um die korrekte Darstellung der Seite zu erhalten, müssen Sie beim Drucken die Hintergrundgrafiken erlauben.
Slider Bild - CC BY-NC-ND 4.0
1/1

Sanduku la ugoro

Sammlung Braun
r 2018 / 18439
Taasisi inayotoa
Museen Stade
Eneo la Mkusanyiko
Sammlung Braun
Nambari ya uvumbuzi
r 2018 / 18439
Kichwa
Sanduku la ugoro
Vipimo
Urefu: 6cm, Upana: 5,5cm
Nyenzo
Frucht
Kiungo cha dondoo
https://www.amani-stade.gbv.de/item/sw_ms_bf761168-31d1-44e3-be3c-d9132c507b4f
nakala kwenye ubao wa kunakili
Kikundi cha kitu / kitu cha mtu binafsi
Kitu cha mtu binafsi
Uainishaji
Vyombo vya kuvuta sigara  
Uzalishaji
Wakati
mpaka ca. 1909-07-30
Mtu
  • unknown actor (Mtengenezaji)
Mahali
  • Amani
Ethnolojia
  • Shambaa  
Kununua / Uuzaji
Wakati
1909-07-30
Maelezo
„Ijuma 30 mwezi wa saba 1909 [imepigwa mstari] nimefanyia kazi takwimu kwenye maabara. – Kingazi amenitengenezea kasha ya tumbaku inayovutia kwa mtindo wa Waseguha na Washambaa: tufe ni tunda la Oncoba spinosa lililokombwa na kukaushwa halafu ikafunikwa na ngozi ya kibofu cha ng‘ombe. Shingo na mfuniko umechongwa kutoka mbao uzi unaoshika mfuniko umesukwa kwa katani. Wakati wa chakula cha jioni Bwana Kinzelbach alikuwa amesharudi tumezungumzia mambo ya kifamilia [...]" [Utafsiri]

chanzo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 53 (97)
mwandishi: Karl Braun
Mtu
  • unknown actor (Mchuuzi)
  • Braun, Karl (* 1870 † 1935) (Mnunuzi)
    GND Explorer
Mahali
  • Amani
Malipo
Wakati
kutoka 1909-07-30
Maelezo
"130. Kasha ya ugoro, kutoka tunda la Oncoba spinosa, inafunikwa na kibofu cha ngombe Kikiwa majimaji baada ya kukauka kinakaza na kinan‘gaa . mfuniko na kamba ya katani/ kimetengenezwa na Kingazi, Amani 30. mwezi wa saba 1909 / 50 Hell. [imeongezewa na wino mwekundu] / TB. 53,97 / [mchoro]" [Utafsiri]

chanzo: Museen Stade, r 2018 / 18566
mwandishi: Karl Braun
Mtu
Nambari za hesabu za zamani
  • 130
Urithi
Wakati
1934-07-17
Maelezo
Mnamo mwaka 1934, aliyekuwa mkurugenzi wa Taasisi ya Biolojia ya Kilimo na Misitu (Biologische Reichsanstalt für Land- und Forstwirtschaft) Karl Braun (1870–1935) alitoa kile kinachoitwa “Kolonialsammlung Braun” (Makusanyo ya Mkoloni Braun) kwa Jiji la Hanseatic la Stade, au tuseme aliyekuwa mwakilishi wake, meya wa wakati huo Hans Arthur Meyer (1884–1961). Tazama faili „Uhamisho wa makusanyo ya kikoloni kutoka kwa diwani mkuu wa serikali Profesa Dk. Karl Braun huko katika Jiji la Stade” („Überlassung einer Kolonialsammlung vom Oberregierungsrat Professor Dr. Karl Braun in Stade an die Stadt Stade") katika Jimbo la Saxony ya Chini Hifadhi ya Nyalaka ya Stade (Niedersächsischen Landesarchiv Standort Stade).

chanzo: Niedersächsisches Landesarchiv Standort Stade, Dep. 10 Nr. 03025
Mtu
  • Braun, Karl (* 1870 † 1935) (Mfadhili)
    GND Explorer
  • Hansestadt Stade (Mpokeaji)
  • Hans Arthur Meyer (1884 - 1961) (Mpokeaji)
Mahali
  • Stade
Mkopo
Wakati
1997-02-17
Maelezo
Mnamo mwaka 1997, aliyekuwa mtunza kumbukumbu wa jiji kwa wakati huo Jürgen Bohmbach anahitimisha makubaliano ya makabidhiano kwa mkopo wa kudumu katika Jumba la Makumbusho (Museumsverein Stade e.V.) chini ya aliyekuwa mkurugenzi wa wakati huo Gerd Mettjes kwa kutia saini. Baadaye, makusanyiko kutoka kwa Karl Braun yalihamishiwa kwenye Jumba la Makumbusho (Museumsverein Stade e.V.) kwa ajili ya utunzaji.

chanzo: Museen Stade, Vereinbarung Leihgabe "Brauns'sche Kolonialsammlung"
Mtu
Mahali
  • Stade
Mwandishi: Karl Braun, Nukuu/Angalizo: Museen Stade, r 2018 / 18566jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Tarehe ya kutengenezwa: 1909-07-30, Nukuu/Angalizo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 53 (97)jifunze zaidi
Asili ya data ya kitu
Museen Stade
Leseni
Creative Commons Namensnennung, nicht kommerziell, keine Bearbeitung 4.0jifunze zaidi
Imepitishwa katika lango imewashwa
2025-12-04T15:14:19+01:00

Rekodi zetu za takwimu zinafanyiwa maboresho kila mara. Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali au maoni au ikiwa unahitaji taarifa zaidi au nyingine zinazohusu mali hii. Taarifa juu ya ulinzi wa takwimu.
Rudi kwenye utafutaji