Merker, Moritz
Masai,
Ethnogr. Monographie e. ostafrikan. Semitenvolkes,
1910,
GVK
Stuhlmann, Franz
,
Emin Paşa, Mehmed
Mit Emin Pascha ins Herz von Afrika. Ein Reisebericht,
Stuhlmann: Deutsch-Ost-Afrika. Bd 1,
1894,
GVK
Fischer, G. A.
Bericht über die im Auftrage der Geographischen Gesellschaft in Hamburg unternommene Reise in das Massai-Land,
I. Allgemeiner Bericht mit 6 Autotypien,
Mittheilungen der Geographischen Gesellschaft in Hamburg ; 1882/83,
1885,
GVK
"7. Kikuku cha Massai /pembe ya kondoo dume na mkia wa kanu = e rabbi [?] / Merker, M. Die Masai 1910 / Amani 27. mwezi wa kuminamoja 1904 = 1 Rp. / S. 143 / TB. 43, 103 / [mchoro]" [Utafsiri]
chanzo: Museen Stade, r 2018 / 18566 mwandishi: Karl Braun
"Jumapili 27. Mwezi wa kumi na moja 1904 [imepigwa mstari] Leo asubuhi nimepokea mapambo kadhaa ya ki-Massai: 7. Bangili yenye pande mbili ya pembe mwishoni imepambwa na shaba mwekundu na nyaya za shaba ina manyoya ya kanu (= 1 Rupie) [mchoro] eneo: Stuhlmann. Mit Emin Pascha ins Herz von Afrika, Berlin 1894 kitabu. 1 u. 51 / picha. angalia: Fischer, G. A. Das Maßailand. Mwezi wa tisa. Abz. aus d. Mitteil. der Geograph. Gesellschaft in Hamburg 1882-83. Hamburg 1885. Kibao 6 mchoro 1. / 8. Mkanda wa ngozi uliopambwa Huvaliwa kifuanishangaa buluu& nyeupe, ngozi imepakwa udongo mwekundu (= 1 Rupie) [mchoro] [...]" [Utafsiri]
chanzo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 43 (103) mwandishi: Karl Braun
Mnamo mwaka 1934, aliyekuwa mkurugenzi wa Taasisi ya Biolojia ya Kilimo na Misitu (Biologische Reichsanstalt für Land- und Forstwirtschaft) Karl Braun (1870–1935) alitoa kile kinachoitwa “Kolonialsammlung Braun” (Makusanyo ya Mkoloni Braun) kwa Jiji la Hanseatic la Stade, au tuseme aliyekuwa mwakilishi wake, meya wa wakati huo Hans Arthur Meyer (1884–1961). Tazama faili „Uhamisho wa makusanyo ya kikoloni kutoka kwa diwani mkuu wa serikali Profesa Dk. Karl Braun huko katika Jiji la Stade” („Überlassung einer Kolonialsammlung vom Oberregierungsrat Professor Dr. Karl Braun in Stade an die Stadt Stade") katika Jimbo la Saxony ya Chini Hifadhi ya Nyalaka ya Stade (Niedersächsischen Landesarchiv Standort Stade).
chanzo: Niedersächsisches Landesarchiv Standort Stade, Dep. 10 Nr. 03025
Mnamo mwaka 1997, aliyekuwa mtunza kumbukumbu wa jiji kwa wakati huo Jürgen Bohmbach anahitimisha makubaliano ya makabidhiano kwa mkopo wa kudumu katika Jumba la Makumbusho (Museumsverein Stade e.V.) chini ya aliyekuwa mkurugenzi wa wakati huo Gerd Mettjes kwa kutia saini. Baadaye, makusanyiko kutoka kwa Karl Braun yalihamishiwa kwenye Jumba la Makumbusho (Museumsverein Stade e.V.) kwa ajili ya utunzaji.
Creative Commons Namensnennung, nicht kommerziell, keine Bearbeitung 4.0jifunze zaidi
Imepitishwa katika lango imewashwa
2025-12-04T15:45:35+01:00
Maoni
Rekodi zetu za takwimu zinafanyiwa maboresho kila mara. Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali au maoni au ikiwa unahitaji taarifa zaidi au nyingine zinazohusu mali hii. Taarifa juu ya ulinzi wa takwimu.