Hinweis: Um die korrekte Darstellung der Seite zu erhalten, müssen Sie beim Drucken die Hintergrundgrafiken erlauben.
Slider Bild - CC BY-NC-ND 4.0
1/1

Maski/Kinyago cha mbao

Sammlung Braun
r 2018 / 18240
Taasisi inayotoa
Museen Stade
Eneo la Mkusanyiko
Sammlung Braun
Nambari ya uvumbuzi
r 2018 / 18240
Kichwa
Maski/Kinyago cha mbao
Vipimo
Urefu: 24,5cm, Upana: 21cm
Nyenzo
Mbao
Kiungo cha dondoo
https://www.amani-stade.gbv.de/item/sw_ms_20a30c3c-245e-44c0-a093-153bbacf8107
nakala kwenye ubao wa kunakili
Kikundi cha kitu / kitu cha mtu binafsi
Kitu cha mtu binafsi
Uzalishaji
Wakati
mpaka ca. 1906-06-15
Mtu
  • Mtu, haijulikani (Mtengenezaji)
Mahali
  • Mtwara
Ethnolojia
  • Makonde  
Urithi
Wakati
1934-07-17
Maelezo
Mnamo mwaka 1934, aliyekuwa mkurugenzi wa Taasisi ya Biolojia ya Kilimo na Misitu (Biologische Reichsanstalt für Land- und Forstwirtschaft) Karl Braun (1870–1935) alitoa kile kinachoitwa “Kolonialsammlung Braun” (Makusanyo ya Mkoloni Braun) kwa Jiji la Hanseatic la Stade, au tuseme aliyekuwa mwakilishi wake, meya wa wakati huo Hans Arthur Meyer (1884–1961). Tazama faili „Uhamisho wa makusanyo ya kikoloni kutoka kwa diwani mkuu wa serikali Profesa Dk. Karl Braun huko katika Jiji la Stade” („Überlassung einer Kolonialsammlung vom Oberregierungsrat Professor Dr. Karl Braun in Stade an die Stadt Stade") katika Jimbo la Saxony ya Chini Hifadhi ya Nyalaka ya Stade (Niedersächsischen Landesarchiv Standort Stade).

chanzo: Niedersächsisches Landesarchiv Standort Stade, Dep. 10 Nr. 03025
Mtu
  • Braun, Karl (* 1870 † 1935) (Mfadhili)
    GND Explorer
  • Hansestadt Stade (Mpokeaji)
  • Hans Arthur Meyer (1884 - 1961) (Mpokeaji)
Mahali
  • Stade
Mkopo
Wakati
1997-02-17
Maelezo
Mnamo mwaka 1997, aliyekuwa mtunza kumbukumbu wa jiji kwa wakati huo Jürgen Bohmbach anahitimisha makubaliano ya makabidhiano kwa mkopo wa kudumu katika Jumba la Makumbusho (Museumsverein Stade e.V.) chini ya aliyekuwa mkurugenzi wa wakati huo Gerd Mettjes kwa kutia saini. Baadaye, makusanyiko kutoka kwa Karl Braun yalihamishiwa kwenye Jumba la Makumbusho (Museumsverein Stade e.V.) kwa ajili ya utunzaji.

chanzo: Museen Stade, Vereinbarung Leihgabe "Brauns'sche Kolonialsammlung"
Mtu
Mahali
  • Stade
Kununua / Uuzaji
Wakati
1906-06-15
Maelezo
"Ijuma 15. Mwezi wa sita 1906 imepigwa mstari] [u. 110] / […] [u. 112] mchana pamoja na Bwana Linder tumekusanya taarifa za mbao wa biashara zilizoko hapa [Lindi] nikalazimka ukusanyaji wa hapa ugawanwe kwa maana ya nusu ya kila kijiti kipelekwe [u. 113] Amani. – Kupitia Bwana Linder nimepata vinyago vinane vya kuchezea ngoma vya 8 Makonde (angalia shajara 52, u. 95) vimetengenezwa na mbao laini na ni vya pekee sana. Vyote vinane ni Rupie 6. – [...]" [Utafsiri]

chanzo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 47 (113)
mwandishi: Karl Braun
Mtu
  • Linder, Fritz (Mchuuzi)
  • Braun, Karl (* 1870 † 1935) (Mnunuzi)
    GND Explorer
Mahali
  • Mkoa wa Lindi
Mwandishi: Karl Braun, Tarehe ya kutengenezwa: 1906-06-15, Nukuu/Angalizo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 47 (113)jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Tarehe ya kutengenezwa: 1906-06-15, Nukuu/Angalizo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 47 (112-113)jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Tarehe ya kutengenezwa: 1906-06-15, Nukuu/Angalizo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 47 (112-113)jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Tarehe ya kutengenezwa: 1906-06-15, Nukuu/Angalizo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 47 (112-113)jifunze zaidi

Rejeo la ndani la kitu

Maski/Kinyago cha mbao

Maski/Kinyago cha mbao

r 2018 / 18240
Rejeo la ndani la kitu
Kitu kinacholingana
Maski/ Kinyago cha mbao

Maski/ Kinyago cha mbao

r 2018 / 18328 b
Rejeo la ndani la kitu
Kitu kinacholingana
Maski/Kinyago cha mbao

Maski/Kinyago cha mbao

r 2018 / 18328 a
Rejeo la ndani la kitu
Kitu kinacholingana
Mask/ Kinyago cha mbao kinachowakilisha sura ya sungura

Mask/ Kinyago cha mbao kinachowakilisha sura ya sungura

r 2018 / 18332
Rejeo la ndani la kitu
Kitu kinacholingana
Maski/ Kinyago cha mbao

Maski/ Kinyago cha mbao

r 2018 / 18336
Rejeo la ndani la kitu
Kitu kinacholingana
Kinyago cha mbao chenye sura ya Sungura

Kinyago cha mbao chenye sura ya Sungura

r 2018 / 18452
Rejeo la ndani la kitu
Kitu kinacholingana
Maski, Kinyago cha mbao

Maski, Kinyago cha mbao

r 2018 / 18466
Rejeo la ndani la kitu
Kitu kinacholingana
Maski ya mbao, inayowakilisha sura ya sungura

Maski ya mbao, inayowakilisha sura ya sungura

r 2018 / 18544
Rejeo la ndani la kitu
Kitu kinacholingana
Asili ya data ya kitu
Museen Stade
Leseni
Creative Commons Namensnennung, nicht kommerziell, keine Bearbeitung 4.0jifunze zaidi
Imepitishwa katika lango imewashwa
2025-12-04T15:50:22+01:00

Rekodi zetu za takwimu zinafanyiwa maboresho kila mara. Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali au maoni au ikiwa unahitaji taarifa zaidi au nyingine zinazohusu mali hii. Taarifa juu ya ulinzi wa takwimu.
Rudi kwenye utafutaji