Wakati
1905-01-01
Maelezo
"Jumapili 1. 1905 [imepigwa mstari] asubuhi matembez. Prof Voßeler & na mke, Krockenberger, Martha na mimi. Kwenye saa sita kufika kwa Prof. Zimmermann. Mchana [...] [?] mvua matembezi kwenye Bomole. Tunawasindikiza Bwana Krockenberger & v. Bock hadi daraja la Derema. Jioni nyumbani na nimeandika shajara. Kuna mengi ya kusema [...] [?] kuhusiana na ukusanyaji wetu wa vitu vya mila umeongezeka [...] [?] waajiriwa, Bwana Salgo, [...] [?] amefika [...] [?] Bibi [...] [?] kukusanya [?] fungu dogo la maua [...] [?] Martha anamiliki moja [?]. vyombo vya kuwekea maua vimetengenezwa kwa udongo [...] [?] im kijijini Amani [...] [?]. kwa bahati mbaya [...] [?] chombo cha maua hakikupigwa rangi mbalimbali,kwa hiyo uzuri wa udongo [...] [?] umepungua 15. Chombo kidogo cha maua kilichochomwa. Mapambo: [mchoro chombo cha maua mchoro makini mapambo ] [u. 22] 16. Bangili ya fedha . Inaonekana ni kazi ya kihindi (2 = 7 Rupie) [mchoro] 17. Bangili ya fedha. Kama 16. (2 = 6 Rupie) [mchoro]" [Utafsiri]
chanzo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 44 (21)
mwandishi: Karl Braun
Mtu
-
unknown actor
(Mfadhili)
-
unknown actor
(Mpokeaji)
Mahali