Wakati
1908-11-02
Maelezo
"Jumatatu 2. Mwezi wa kuminamoja 1908 [imepigwa mstari] Nimefanya kazi za kiofisi. – Leo nimepata vitu vya kimila kadhaa vinavyovutia. Vimetumwa kutoka misheni Mlalo vinapotengenezwa na wazawa. Ni mifuko ya sigara umbile wa duara na bapa [michoro miwili] wenzo ni Ukundu [?] (Phoenix reclinata Iacg. [?]) [angalia. wenzo nambari kwenye orodha Orofdha. na. Karl Braun 99] tepe ni nyekundu majivu-buluu au rangi ya manjani.kawa mbili za mfuko huweza kuunganishwa na zimeunganishwa kwa uzi wa Sansevieria. Vikapu vidogo vilivyosukwa na ukindu mnene. Wenzo ni Ukiudu [?] pia, rangi ni zilezile kwa hela 40 [mchoro] [u. 86] viko vyeusi vidogo viwili kimoja kina kichwa pembeni kingine kina kimoja cha kutunzia tumbaku kwa hela 80 [michoro miwili] kipande kilichofumwa kwa rangi za mchoro uliokuzwa mara 2 ½ (= 1 Rp. 60). Pia Kingazi amenitengenezea kifaa cha kuwashia moto kama ilivyotumiwa na wazawa zamani. Ni kipande cha Msaja" [?] (Ficus exasperata Vahl) kinakatiwa mikato midogo ya umbile wa V & kijiti cha mbao uleule inazungushwa kwenye mkato papo hapo mle mnajitokeza tungamo inayowaka moto baada ya dakika chache [michoro makini miwili yenye maelezo] sehemu ya chini / kijiti. Huenda hayo yawezekana kwa kutumia mbao wowote ulekavu, laini. (hela 10)" [Utafsiri]
chanzo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 52 (86)
mwandishi: Karl Braun
Mtu
-
Mtu, haijulikani
(Mchuuzi)
-
Braun, Karl (* 1870 † 1935)
(Mnunuzi)
GND Explorer
Mahali