Hinweis: Um die korrekte Darstellung der Seite zu erhalten, müssen Sie beim Drucken die Hintergrundgrafiken erlauben.
Slider Bild - CC BY-NC-ND 4.0
1/1

Chombo cha tumbaku

Sammlung Braun
r 2018 / 18286
Taasisi inayotoa
Museen Stade
Eneo la Mkusanyiko
Sammlung Braun
Nambari ya uvumbuzi
r 2018 / 18286
Kichwa
Chombo cha tumbaku
Vipimo
Urefu: 7,7cm, Upana: 5cm, Kipenyo: 1,5cm
Kiungo cha dondoo
https://www.amani-stade.gbv.de/item/sw_ms_430e578d-5f12-423a-8b65-e33dff4b8aa7
nakala kwenye ubao wa kunakili
Kikundi cha kitu / kitu cha mtu binafsi
Kitu cha mtu binafsi
Uainishaji
Vyombo/hifadhi (kazi ya jikoni)  
Vyombo vya kuvuta sigara  
Uzalishaji
Wakati
mpaka ca. 1909-02-10
Mtu
  • Mtu, haijulikani (Mtengenezaji)
Mahali
  • Tabora
Change of physical control or legal title:
Wakati
mpaka 1909-02-10
Mtu
Mchango
Wakati
kutoka 1909-02-10
Maelezo
"Jumatano mwezi wa pili. 10. 1909 [imepigwa mstari, u. 9] [...] usiku nimelala nyumbani Kiomoni. Bwana Lorberg amenizawadia vitu vyake vya kimila ambavyo alikuwa navyo viwili viwili vyote awali vilikuwa mali ya Bwana Hammerstein: vijiko vya mbao vilivyochongwa na mapambo ya kuchomea [mchoro upande na kutoka juu ] / vijiko vya mbao vyenye mikato ya umbo wa V vinginevyo umbo na ukubwa ni sawa [mchoro toka juu] eneo lote la juu [mchoro kwa umakini) sehemu ya pambo. / kasha ya ugoro kutoka sokoni Tabora imechongwa kutoka mbao mwekundu na juu yake imewekewa jaribosi [imesahihishwa]. Maeneo haya huitwa Mtigu [?] na bei yake ni hela 25-30. Kazi nzuri sana. Sehemu yote nyeupe ni jaribosi. Chupa dogo zina vipande viwili. Kipande cha chini kinatenganishwa na [u. 15] kimekombwa[michoro miwili]. / Kikapu kidogo kizuri kilichosukwa. Kimesukwa na pambo jeusi ndani yake [mchoro toka juu, mchoro wa upande mmoja] Nimelala Kiomoni kwa Bwana Proschell. Nimemtuma tarishi kwa mwalimu Urban kumjuza kwamba asubuhi hii nilitaka kwenda kwa Castaldi naye alitaka kushiriki matembezi hayo. [...]" [Utafsiri]

25 - 30 Heller [/Stück?]

chanzo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 53 (14)
mwandishi: Karl Braun
Mtu
  • Braun, Karl (* 1870 † 1935) (Mpokeaji)
    GND Explorer
  • unknown actor (Mfadhili)
Mahali
  • Kiomoni
Malipo
Wakati
kutoka ca. 1909-02-10
Maelezo
"118. Kasha ya tumbaku ya Nyamwezi / kama hapa awali / [mchoro]" ["117. Kasha ya tumbaku ya Nyamwezi / mbao uliochongwa na kupigiwa karatasi ya bai = migo [?] / sokoni Tabora kwa bei ya hela 25-30. / Kiomoni 10. mwezi wa pili 1909 (kata. Tanga) / TB. 53,14 / [mchoro]"]

chanzo: Museen Stade, r 2018 / 18566
mwandishi: Karl Braun
Mtu
Nambari za hesabu za zamani
  • 118 [?]
Urithi
Wakati
1934-07-17
Maelezo
Mnamo mwaka 1934, aliyekuwa mkurugenzi wa Taasisi ya Biolojia ya Kilimo na Misitu (Biologische Reichsanstalt für Land- und Forstwirtschaft) Karl Braun (1870–1935) alitoa kile kinachoitwa “Kolonialsammlung Braun” (Makusanyo ya Mkoloni Braun) kwa Jiji la Hanseatic la Stade, au tuseme aliyekuwa mwakilishi wake, meya wa wakati huo Hans Arthur Meyer (1884–1961). Tazama faili „Uhamisho wa makusanyo ya kikoloni kutoka kwa diwani mkuu wa serikali Profesa Dk. Karl Braun huko katika Jiji la Stade” („Überlassung einer Kolonialsammlung vom Oberregierungsrat Professor Dr. Karl Braun in Stade an die Stadt Stade") katika Jimbo la Saxony ya Chini Hifadhi ya Nyalaka ya Stade (Niedersächsischen Landesarchiv Standort Stade).

chanzo: Niedersächsisches Landesarchiv Standort Stade, Dep. 10 Nr. 03025
Mtu
  • Braun, Karl (* 1870 † 1935) (Mfadhili)
    GND Explorer
  • Hansestadt Stade (Mpokeaji)
  • Hans Arthur Meyer (1884 - 1961) (Mpokeaji)
Mahali
  • Stade
Mkopo
Wakati
1997-02-17
Maelezo
Mnamo mwaka 1997, aliyekuwa mtunza kumbukumbu wa jiji kwa wakati huo Jürgen Bohmbach anahitimisha makubaliano ya makabidhiano kwa mkopo wa kudumu katika Jumba la Makumbusho (Museumsverein Stade e.V.) chini ya aliyekuwa mkurugenzi wa wakati huo Gerd Mettjes kwa kutia saini. Baadaye, makusanyiko kutoka kwa Karl Braun yalihamishiwa kwenye Jumba la Makumbusho (Museumsverein Stade e.V.) kwa ajili ya utunzaji.

chanzo: Museen Stade, Vereinbarung Leihgabe "Brauns'sche Kolonialsammlung"
Mtu
Mahali
  • Stade
Mwandishi: Karl Braun, Tarehe ya kutengenezwa: 1906-05-26, Nukuu/Angalizo: Museum der Kulturen Basel, VI 56197, 47 (14-16)jifunze zaidi
Mwandishi: Karl Braun, Nukuu/Angalizo: Museen Stade, r 2018 / 18566 (76)jifunze zaidi

Rejeo la ndani la kitu

Kijiko cha mbao na kuchonga

Kijiko cha mbao na kuchonga

r 2018 / 18546
Rejeo la ndani la kitu
Kuhusiana na
Kikombe cha mbao kilicho na chapa

Kikombe cha mbao kilicho na chapa

r 2018 / 18557
Rejeo la ndani la kitu
Kuhusiana na
Asili ya data ya kitu
Museen Stade
Leseni
Creative Commons Namensnennung, nicht kommerziell, keine Bearbeitung 4.0jifunze zaidi
Imepitishwa katika lango imewashwa
2025-12-04T15:34:18+01:00

Rekodi zetu za takwimu zinafanyiwa maboresho kila mara. Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali au maoni au ikiwa unahitaji taarifa zaidi au nyingine zinazohusu mali hii. Taarifa juu ya ulinzi wa takwimu.
Rudi kwenye utafutaji